kongosho,huyu jamaa hajawahi kuwa hivyo!
yah,umenena sawaKama nimeku-quote vizuri hapo juu ni kwamba wewe ndo utakuwa wa kwanza kumfumua...kama ni hivyo then mshauri akaonane na psychologist haraka iwezekanavyo,maana kale kamchezo akikaanza hata kaacha. na hapo amekuambia wewe ambae huna huo mchezo usipomshauri hivyo haraka then atapata mshauri mwingine ambae atam-direct kwa mtaalam wa huo mchezo then kwisha habari yake...
nimewaza kumwambia mkewe na hata wazazi wake,ila ngoja nikusanye ushauri humu nathani nitatoka na jawabu murua,hatari kwelikweliDuh, inatisha sana
au kakalia ki tuthipik kikamchoma kumoyo?
Akaombewe fasta
au mwambie mkewe labda atamsaidia
au aliwahi kuwa abused utotoni
jamani mbona hatari!!!
nimewaza kumwambia mkewe na hata wazazi wake,ila ngoja nikusanye ushauri humu nathani nitatoka na jawabu murua,hatari kwelikweli
sijasema mimi.........kama ulishindwa kumwambia hapo hapo,kuwa huwezi kumfanyia huo ushenzi....basi na wewe gay.
nakumbuka mshoga mmoja alitokaga puru,basi akaitwa bibi fulani akamsaidie huyo mbibi kapinda anachukua kioo anamuwekea nyuma halafu anamuambia ageuke huo ukelele anaotoa we acha tu maana!!!
unajua puru likitoka nje unaona nini...ndicho kilichokuwa kinampigisha kelele lakini shangaa amelazwa muhimbili kama mwezi hivi alipotoka akarudia!!!sijaelewa uhusiano wa kioo na kelele