Anataka nimfanyie!!

khaaa....

Ukisikia nyakati za mwisho ndio hizi sasa. Maskini mke na mtoto wangejua anachowaza baba yao,!!! nawahurumia sana..
 
Hivi inaingiaje akilini mwanaume mzima una mke na mtoto unatamani nawe 'ubomolewe' mlango wa uwani? uwendawazimu au tamaa? aaghhh.....kwa mujibu wa maandiko matakatifu. Itakapokaribia kiyama, wanaume watasodomwa sana na wanawake watagomorana, makanisa na misikiti itakuwa ni kumbi za burudani. kwa hali tuliyonayo sasa, kiyama tayari kishaingia
 

Kwa hiyo unataka kumbikiri sio?
 
ndo maana wanasema idadi ya wanaume ni ndogo kuliko wanawake, kumbe wanaume wenyewe wanataka ku-kameruniwa(baadhi ya wanaume jamani msije nishambulia.......)

mwambie akawaone wataalamu wa saikojojia upesi sana kabla hajagawa.....
 
ndo maana wanasema idadi ya wanaume ni ndogo kuliko wanawake, kumbe wanaume wenyewe wanataka ku-kameruniwa(baadhi ya wanaume jamani msije nishambulia.......)

mwambie akawaone wataalamu wa saikojojia upesi sana kabla hajagawa.....

ushauri mzuri ndugu yangu,thanx
 
khaaa....

Ukisikia nyakati za mwisho ndio hizi sasa. Maskini mke na mtoto wangejua anachowaza baba yao,!!! nawahurumia sana..
acha tu,mimi nimechoka akili, mwili na roho
 
funga na kuomba kwa ajil yake! Kemea hlo ni pepo! Tena anahtaj ushaur nasaha, tafuta m2 mwenye fan ya kushaur uende nae kwake! Ni mkoa upi il km vp nkakusaidie kumpa canceling coz nmepata course hyo Tumain unvr,
Makumira. Am ril serious.

Ni kweli shetani yuko kazini kwenye hiyo familia ikimtumia huyo ndugu - Jibu ni Yesu ..........hapo kwenye red - please hebu nidokezee kidogo kuhusu hiyo course - ni muda gani inachukua.... kiasi gani..... ni full time or part time... etc. NIMEITAFUTA MUDA MREFU ... NAONA LEO NI MUUJIZA KUONA UMEANDIKA HIVI - samahani kama nimekwenda off-topic
 
Kama kweli unamhurumia huyo rafiki yako, tafuta Mtalaam wa Saikolojia umsmulie tatizo la huyo jamaa yako ukiwa pekee yako, baada ya hapo, mpeleke akapate ushauri, usimwache kwenda pekee yake maana anaweza asiende na ukijakushtuka ukakuta alishaanza mchezo huo mchafu.
 
kongosho,huyu jamaa hajawahi kuwa hivyo!

Unajuaje ? Pengine ilikuwa siri yake na alianza muda mrefu mchezo huo. Mambo yanayofanyika ndani ya kuta nne si ya kuyatolea ushahidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…