Anataka nimfanyie!!

fabinyo mi sijaelewa hivi wewe ni he au she,maana avatar yako na maelezo ya uzi naona haviendani.
 
Mambo madogo sana:

1) mtafutie "strap on D" umpe ampe mkewe awe anamshughulikia. Unanshangaza.

2) Mbili alikuwa anakuambia kiujanja umshughulikie mkewe, yeye kachoka na kakuchaguwa wewe.

3) Amuache mkewe asimtukanishe, kwani hayo ni matusi kwa mkewe.
 
"Njoo ufanyiwe maombii,wengi wameombewa"-Mwaitege

Ni pepo chafu akaombewe litatoka,chonde chonde usithubutu kumla kiboga
 
fabinyo mi sijaelewa hivi wewe ni he au she,maana avatar yako na maelezo ya uzi naona haviendani.

he,ila hunioni vema,cheki picha vizuri tuko wawili hapo
 
ehhh,mawazo mapya kabisa haya!thanx FF
 
Naomba unijuze jinsi yako fabinyo....hiyo avatar inafanya nishindwe kung'amua....

mimi ni he,kwa avatar tuko wawili la mimi ni mweusi tii ndio maana hunioni vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…