Wadau kuna msichana ambaye alikuwa wangu kipenzi tukiwa secondary na sasa imepita miaka 3 toka tumeet kwa last time. Juzi Juz tu nimekutana nae na kubadilishana namba na usiku wa Jana kanipigia usiku anasema kamiss sana Nyoka na anataka tena.
Je nimpe bt mimi nimeshavuta jiko.
Hukumwambia kwamba umeshaoa...hiyo ndiyo shida....aidha kama ulimwambia ulipitia namna ya kumkejeli mkeo, thats what i quess..Wadau kuna msichana ambaye alikuwa wangu kipenzi tukiwa secondary na sasa imepita miaka 3 toka tumeet kwa last time. Juzi Juz tu nimekutana nae na kubadilishana namba na usiku wa Jana kanipigia usiku anasema kamiss sana Nyoka na anataka tena.
Je nimpe bt mimi nimeshavuta jiko.
Mbona waniponda tena baada ya kunipa ushauri?
:amen::amen::amen::amen:Hukumwambia kwamba umeshaoa...hiyo ndiyo shida....aidha kama ulimwambia ulipitia namna ya kumkejeli mkeo, thats what i quess..
Kama ungesimama confidently na kumwambia ninaishi na sweetheart mke wangu mpendwa and so so, unadhani bado angekuwa na hamu na wewe?
Lakini pia kabla ya hiyo juzi kukwambia hivyo ni kwamba ulikuwa na mawasiliano nae na naamini ulijaribu hata kuomba...!
Mkuu, kama unampenda mkeo, na kama hutaki kudhalilisha familia yako weka wazi kuwa huwezi kwa sasa.
Shida yako ni kwamba unajisikia fahari kuambiwa hivyo na huyo dada,kitu ambacho chaweza kukupa hasara kubwa, ukajuta maisha yote!
:help::help::help:
Kawa king'ang'anizi sana hadi jinsi ya kumkimbia nashindwa na nyumbani anapajua. Ila mamaaa yupo UG.
unataka kuambiwa nini sasa,mpaka unaoa hujakua tu.
Alafu analeta sababu za kutokwepa zinaa.hahahahah,shosti huyo anajitia utoto,
Mbona waniponda tena baada ya kunipa ushauri?