Anataka nyumba yake anadai simpendi

Anataka nyumba yake anadai simpendi

neyl

Senior Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
127
Reaction score
19
habari,niliachwa na mpnz wangu nikajitahid kummbembeleza for good 5months nilpoona pozi zimezid nikaenda kwa wazazi wake maana tulifunga ndoa ya kimila mwisho wa siku familia yake ikanipa nyumba na pesa kidogo kwa ajili ya kutunza watoto maana nimezaa nae mapacha watatu basi nikaendelea na maisha na wanangu wiki kadhaa zilizopita nilikutana na my x town akastuka kuniona toka hapo amekuwa akinisumbua nirudshe nyumba na hela za wazaz wake et sikumpenda ndio maana nimependeza after ye kuniacha
 
hiv unatakiwa uparareee ukiachika au anataka nin huyu mwanaume? maana sijamwelewa kupendeza kwangu kunahusikaje na talaka yetu au alitaka niokote makopo ndio ajue alipendwa?
 
Haaaaa amestuka baada ya kuona u-mrembo tena wang'ara achana nae usirudishe kitu huyo jamaa yako anaonekana macho juu juu,usimkubalie huyo wewe endelea kula maisha na mapacha watatu hao lakini wasije kua mapacha wa3 wale wa maggamba!
 
Kama kaguswa na welfare yako then bado anakupenda..anaona wivu tu hivyo vitu ulivyo pata utakuja kutumia na mwanaume
mwingine...
 
Pole sana, hayo ndiyo majaribu ya dunia! Piga magoti mwambie mungu matatizo yako hakika atakuokoa na ibilisi
 
Kama kaguswa na welfare yako then bado anakupenda..anaona wivu tu hivyo vitu ulivyo pata utakuja kutumia na mwanaume
mwingine...

wivu wa nin sitoweza olewa tena, am just 25years but ni ngumu kwangu kuolewa tena koz I have 3kids hakuna mwanaume atakayekuwa radhi kuoa mwanamke mwenye watoto watatu ingawa am young n ukiniona huwez amin kama nina mtoto
 
Haaaaa amestuka baada ya kuona u-mrembo tena wang'ara achana nae usirudishe kitu huyo jamaa yako anaonekana macho juu juu,usimkubalie huyo wewe endelea kula maisha na mapacha watatu hao lakini wasije kua mapacha wa3 wale wa maggamba!

my precious, prince and pretty sio wa magamba bwana
 
wivu wa nin sitoweza olewa tena, am just 25years but ni ngumu kwangu kuolewa tena koz I have 3kids hakuna mwanaume atakayekuwa radhi kuoa mwanamke mwenye watoto watatu ingawa am young n ukiniona huwez amin kama nina mtoto

Usijali mie naweza kukuoa tupiemuane!
 
teh teh haya tutakutana piemuni
Anakutamani tu huyo hana jipya .anaangalia uta react vipi ! sasa kama una watoto nae anataka nyumba ya nini ? kichaa huyo ! mpotezeee heeeeeeeeeeeeeeeeee mbona bado mbichi ukiamua utapata mtu wa kuishi nae ila nakushauri jaribu kuwa makini hapo kwenye kuolewa usje ukapoteza upendo kwa watoto ukampa huyo mtarajiwa .maana cc wanaume nasi tukijua tunapendwa tuna matatizo yetu ! si mama kwenye nafasi yako 😛oa😛oa
 
hiv unatakiwa uparareee ukiachika au anataka nin huyu mwanaume? maana sijamwelewa kupendeza kwangu kunahusikaje na talaka yetu au alitaka niokote makopo ndio ajue alipendwa?

pole sana mdada. unatakiwa upate pumziko, ni PM tuongee nikupe fursa na namna ya kukabiliana na suala hilo kwa kila hali, kijamii na hata kisheria
 
wivu wa nin sitoweza olewa tena, am just 25years but ni ngumu kwangu kuolewa tena koz I have 3kids hakuna mwanaume atakayekuwa radhi kuoa mwanamke mwenye watoto watatu ingawa am young n ukiniona huwez amin kama nina mtoto
wewe, Shiii! Ongea taratibu mimi nawapendaga wanao zaaga wapacha, utanipokea nije?
 
Pole sana, but huyo jamaa anatapatapa tu. Anadai nyumba alikupa yeye? Nyumba ulipewa na wazazi wake, wao ndo wangekuwa na haki ya kudai. Mpotezee kabisaa.
 
Waambie wazazi wake. We hujawekwa hapo na yeye. Kama ana issue akawaambie walokuweka hapo, full stop.

Dah!!This is more like it.Asipoelewa hili atakuwa anatafuta kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria.
 
hiv unatakiwa uparareee ukiachika au anataka nin huyu mwanaume? maana sijamwelewa kupendeza kwangu kunahusikaje na talaka yetu au alitaka niokote makopo ndio ajue alipendwa?

anakutaka mrudiane huyo.huo ni mkwara tu.
 
Pole sana mpendwa kwa yanayokusibu, hakika percent kubwa ya wanaume anapenda akiachana na mtu amuone kachakaa na huyo alivyokuona umependeza amekuonea wivu anahisi kuwa umepata bwana mwingine cha msingi ni wewe kuonyesha msimamo wako hamna cha kumrudishia nyumba wala nini kwan hiyo nyumba ni haki ya wanao
 
wewe, Shiii! Ongea taratibu mimi nawapendaga wanao zaaga wapacha, utanipokea nije?

penda pacha lkn usipate watatu me nilizimia cku nilojua nina totoz 3 tumboni afu kamwili kenyewe sina, afu ngoma zinakula kama viwavi jeshi sitaki kufikiria kitu cha school fees tatu kwa mpgo wakiumwa sasa huwa nadata
 
Pole sana, but huyo jamaa anatapatapa tu. Anadai nyumba alikupa yeye? Nyumba ulipewa na wazazi wake, wao ndo wangekuwa na haki ya kudai. Mpotezee kabisaa.

am trying kumpotezea but huwa anasema anataka kuona watoto na nashndwa kumzuia sasa hapo akija kuwaona ndio matusi yanaanza napendeza kwa hela za wazazi wake watoto wake wanakonda mara nihame kwenye nyumba yao yan ili mradi kero tupu
 
Back
Top Bottom