Kama kaguswa na welfare yako then bado anakupenda..anaona wivu tu hivyo vitu ulivyo pata utakuja kutumia na mwanaume
mwingine...
Haaaaa amestuka baada ya kuona u-mrembo tena wang'ara achana nae usirudishe kitu huyo jamaa yako anaonekana macho juu juu,usimkubalie huyo wewe endelea kula maisha na mapacha watatu hao lakini wasije kua mapacha wa3 wale wa maggamba!
wivu wa nin sitoweza olewa tena, am just 25years but ni ngumu kwangu kuolewa tena koz I have 3kids hakuna mwanaume atakayekuwa radhi kuoa mwanamke mwenye watoto watatu ingawa am young n ukiniona huwez amin kama nina mtoto
Anakutamani tu huyo hana jipya .anaangalia uta react vipi ! sasa kama una watoto nae anataka nyumba ya nini ? kichaa huyo ! mpotezeee heeeeeeeeeeeeeeeeee mbona bado mbichi ukiamua utapata mtu wa kuishi nae ila nakushauri jaribu kuwa makini hapo kwenye kuolewa usje ukapoteza upendo kwa watoto ukampa huyo mtarajiwa .maana cc wanaume nasi tukijua tunapendwa tuna matatizo yetu ! si mama kwenye nafasi yako 😛oa😛oateh teh haya tutakutana piemuni
hiv unatakiwa uparareee ukiachika au anataka nin huyu mwanaume? maana sijamwelewa kupendeza kwangu kunahusikaje na talaka yetu au alitaka niokote makopo ndio ajue alipendwa?
wewe, Shiii! Ongea taratibu mimi nawapendaga wanao zaaga wapacha, utanipokea nije?wivu wa nin sitoweza olewa tena, am just 25years but ni ngumu kwangu kuolewa tena koz I have 3kids hakuna mwanaume atakayekuwa radhi kuoa mwanamke mwenye watoto watatu ingawa am young n ukiniona huwez amin kama nina mtoto
Waambie wazazi wake. We hujawekwa hapo na yeye. Kama ana issue akawaambie walokuweka hapo, full stop.
hiv unatakiwa uparareee ukiachika au anataka nin huyu mwanaume? maana sijamwelewa kupendeza kwangu kunahusikaje na talaka yetu au alitaka niokote makopo ndio ajue alipendwa?
wewe, Shiii! Ongea taratibu mimi nawapendaga wanao zaaga wapacha, utanipokea nije?
Pole sana, but huyo jamaa anatapatapa tu. Anadai nyumba alikupa yeye? Nyumba ulipewa na wazazi wake, wao ndo wangekuwa na haki ya kudai. Mpotezee kabisaa.