Ndugu wana jf,kuna rafiki yangu ni mwanaume ana mchumba wake na ameisha mtambulisha kwao na wazazi wa pande zote wanajua uchumba wao,jamaa na mchumba wake wote ni walokole na wamekubaliana wasi do mpaka wawe wamefunga ndoa,siku za karibuni demu ameanza kumshawishi jamaa eti wavunje amri ya 6 kabla ya ndoa.jamaa anaomba ushauri wenu wana jf.
Asijaribu ku-do kabla ya ndoa ila binti aking'ang'ania wewe niunganishe na huyo bi harusi nilale naye kabla ya harusi,hii ni ktk kumsaidia bw harusi asitende dhambi kulingana na imani yake.
Huyo rafiki yako Imani yake haba sana,kama ameokoka na anamwamini Mungu na najua makatazo yote likiwemo na hilo anauliza nini? anyway yeye mwenyewe ana msimamo gani? Kwani mchumba wake ana haraka gani wakati watafanya hayo mambo mpaka wakinai wakioana.
Halafu muulize siku nyingine akishawishiwa kuiba atakuuliza umpe ushauri? Msimamo wake ni upi kuhusu imani yake
Yeye msimamo wake ni kusubiri hadi ndoa,ameomba ushauri ili apate mwanga zaidi kuhusu tatizo linalomkabili.Yeye amesema anaendelea kufunga na kuomba ili huyo mchumba wake aachane na mawazo hayo mabaya.
au demu kagundua jamaa alikuwa bwabwa nini kabla hajaokoka? anyway, it looks like anataka kupima performance katika mambo ya 'kufikishana' ili kama vipi asepe mapema
Huyo anahitaji muhogo, kama muhogo unafiti sawa sawa ndoa haina matatizo, lakini ndoa bila muhogo haiwezekani. na ndio maana binti ameshtukia inshu mapema.
Anaona watu wasije fanya sherehe kuubwa! bahada ya muda mtu anarudi na mabegi yake nyumbani kuulizwa "Jamaa shughuli haiwezi" Watu wote watakushangaa!
Binti mimi namuunga mkono ni lazima uyatesti maji kabla ya kuyaingia! Hata bibi yetu HAWA NAE ALISHTUKIA INSHU KWA BABU YETU ADAMU, yeye ndio alianza kuomba gemu mzee Adamu akaingia laini.
Ampe mara moja. Kama wameokoka ni dhahiri wanaijua vyema bible. Ombeni nanyi mtapewa, bisheni hodi nanyi mtafunguliwa. Najua kuna both advantage na disadvantage but ampe. Ni vyema kupimisha suruali au kiatu b4 hujanunua. Ukinunua then kikakubana baadae utafanyaje? Ampe na kama ni wewe mpe kitu yake.