Anataka wamzibue mtoto masiko.

Anataka wamzibue mtoto masiko.

TaiJike

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
1,482
Reaction score
668
Hello JF,
Naomba kueleweshwa hii kwa niaba ya rafiki yangu ambae ana mtoto mchanga wa miezi mitatu mmewe anamwambia kuwa wamzibue mtoto masikio. Je ni kweli huwa masikio ya mtoto yameziba? na ku do ndiyo njia pekee ya kuyazibua?
 
Una kijanga nije tukizibue na mie?
Naa kikoton bug kizuri.
 
ahaaahaaaaa mbavu zangu jamani nilikuwa napita tu ikabidi nisimame nisikilize.
 
Hiyo wanaisema wakubwa kuwa ni mhimu sana na kama usipofanya hivyo, mtoto shingo yake inaweza isiwe ngumu, inaweza kuwa mdebwedo. kuna wengine wanaamini kuzibua masikio one week baada ya mwanamke kujifungua hasa kama hukupata matatizo ya uzazi. tafuta kwenye profile yangu, utakuta kuna thread ya kuhoji mambo hayo
 
Ndio kwanza leo nasikia hayo, sasa kwa wale walio wachwa au kupewa mimba na muhusika akakimbia kwa yeye inakuwaje au anasaidiwaje?
 
mmh kwangu ili jipya aisee....... sijaisikia nadhan ni mila za kienyeji izi au za makabila fulan fulan.
 
Ndio kwanza leo nasikia hayo, sasa kwa wale walio wachwa au kupewa mimba na muhusika akakimbia kwa yeye inakuwaje au anasaidiwaje?

Au mume yuko masomoni nje ya nchi,kumbe wao ndo huwa wanajichukulia hivyo vitenda.
 
kwa hiyo huyo adada anataka mpaka mtoto aote meno? Mwishowe mume atatafuta nyumba ndogo. Mpe mmeo haki yake.
 
Hello JF,
Naomba kueleweshwa hii kwa niaba ya rafiki yangu ambae ana mtoto mchanga wa miezi mitatu mmewe anamwambia kuwa wamzibue mtoto masikio. Je ni kweli huwa masikio ya mtoto yameziba? na ku do ndiyo njia pekee ya kuyazibua?

Yeah ataanza kusikia vizuri yakizibuliwa.
Hata meno yakianza kuota jamaa la nje nalo linapata nafasi ya kukazia meno
 
Ndio kwanza leo nasikia hayo, sasa kwa wale walio wachwa au kupewa mimba na muhusika akakimbia kwa yeye inakuwaje au anasaidiwaje?

Hao wanazibuliwa na max boyfriend au yale majanaume yenye mimate mate
 
Yeah ataanza kusikia vizuri yakizibuliwa.
Hata meno yakianza kuota jamaa la nje nalo linapata nafasi ya kukazia meno

Na akianza kukojoa je inakuwaje? Ila swali langu halijajibiwa.
 
mi mwenyewe mshikaji wangu aliniambia anaenda kumzibua masikio mwanae tangu christmas hadi leo hajarudi. itabidi nmuulize vizuri. Mia
 
mi mwenyewe mshikaji wangu aliniambia anaenda kumzibua masikio mwanae tangu christmas hadi leo hajarudi. itabidi nmuulize vizuri. Mia

Labda bado hajapata matokeo hivo kuendelea na uzibuaji. please call him.
 
Back
Top Bottom