kirukee kikore
Member
- Jan 3, 2011
- 5
- 0
Do hizi application zimekuwa nyingi siku hizi; All the best Mkuu,
Am just curious kuna mwanajamvi yeyote alishawahi fanikiwa kwenye hii issue na kupata mwenza humu jamvini?
Pia Mods nashauri kuwe na Jukwaa La Singles.......... ili kukutanisha watu iwe rahisi
Wapo
Yaani umekosa wachumba huko uliko mpaka umeamua kuja kutafuta JF?
mmmhhhh
Sema Afrodenzi, mbona waguna, wapo bana, huamini????????
Pia Mods nashauri kuwe na Jukwaa La Singles.......... ili kukutanisha watu iwe rahisi[/QUOTE said:Naunga mkono 100%.
mmmhh itabidi uniambie nani..
ama sivyo itabidi tuingie chumbani mapema hivi lol
Yaani umekosa wachumba huko uliko mpaka umeamua kuja kutafuta JF?
Pia Mods nashauri kuwe na Jukwaa La Singles.......... ili kukutanisha watu iwe rahisi
Hakuna ubaya!
Wapo baadhi kupitia Bar wamewapata wenza.
Hakuna ubaya!
Wapo baadhi kupitia Bar wamewapata wenza.
Afrodenzi,, macho yako na shingo yako vinanifanya nishindwe kunyanyuka hapa kwenye keyboard, fanya ze needfull basimambo poa tu zakupotea?
nini kulikoni??
Ninatamani nimpate mmojawapo wa watu waliopata wenza wao bar,Maalim wa kwako ulimpata Bar nini?Hakuna ubaya!
Wapo baadhi kupitia Bar wamewapata wenza.