kirukee kikore
Member
- Jan 3, 2011
- 5
- 0
I am a man of below 30 yrs
natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27
mcha Mungu(mi ni mkristu), mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake.
PM me please for further contact
I present
mke mwema anatoka kwa mungu
mbona unamkatisha tamaa????sidhani kama walimu utawapata hapa,dont be soo daft!:tape2:
kama yeye kaishia darasa la nne?toa sifa zako upate mwalimu wa secondary...kama na wewe utamfaa!
Hehehe hapo kwakweli itakua ngumu kidogo,..inabidi waendane angalau kidogo asije akageuzwa mwanafunzi badala ya mume!kama yeye kaishia darasa la nne?
Ok, thank you for this usefull post, I will PM you, after three days.
Sina kumbukumbu kama kwenye CV yako kuna sehemu umepitia ualimu.
No Matter How Far You Are , I ll`be There for You .
we mkaka katembelee shule za kata, sio hapa.