Anaogopa kuzungumzia kwasababu anajua ni kweli na anaona vibaya kukiri kuwa alifanya hayo.. Kwa uzoefu wangu, huyo binti anaona unampenda na uko kwa ajili yake kila mara so kakugeuza tulizo lake pale anapoumia. Mkirudiana na akapata mshefa mwingine atakukimbia tena.
Haya nilokwambia changanya na yako upate uamuzi. Maneno yangu si sheria
Pole ..msamehe ila usikimbilie ndoa haraka jipi na mpe muda wa kua-nalize kwanza ili uje kufurahia ndoa badae ila ni vizuri angekueleza yaliyomsibu kuchanganya ujue kama anajutia au ni hobby yake..wakati mwingine Mungu anakuonyesha huyu siye mwanangu na ww unang'ang'ania ..ni mawazo yangu
Inavyoonekana una wivu bro! nashauri kwa kuwa ushatia wasiwasi na huyo girlfriend wako basi tafuta mwingine maana utateseka maisha yako yote
iwapo utafunga ndoa na kila utakapokuwa unafikiria hilo jambo.Bro usisikie bwana kumegewa unaweza kuua mtu bora achana nae kabisaaaaaaaaaaaa.

nafikiri ni katika kutimiza ile nadaharia yenu ya kutest kama jamaa yupi anaweza,......
Wewe nawe wa wapi? we unafikiri hizi ndoa zinazokorofisha kila siku wangechunguzana zingekuwepo? kumjua mtu kwa muda mrefu kuna faida zaidi ya hasaramiaka 5 uchumba!!!!! kuzeeshana tu!!!
"...wivu unahusika penye mapenzi ya kweli..."by the way thanks for your advise!