Kutapika kunako sababishwa na ujauzito, hakuna dawa...! Kinachotakiwa ni mwanamke mwenyewe tu ajitahidi kula vyakula anavyoweza kula, na si lazima ale mpaka ashibe, just few bites tu na maji kidogo, just funda moja...!Mke wangu anaujauzito wa wiki sita sasa, na ni ujauzto wa kwanza. Amekua akitapika sana kuanzia asubuhi mpaka jioni, yani chakura hakikai. Kuna dawa inaitwa NOSIC nimesoma kwenye net inaweza msaidia. Tunahofia kutumi dawa hiyo, hatujui madhara yake. Tafadhali wenye ufahamu wa dawa hiyo tusaidieni.
Asante,