Wazee wa Dar es Salaam wanakula watoto wao (wa kike hasa) kuliko unavyofikiria.
Siui tatizo ni mmomonyoko wa maadili au ni ugonjwa wa akili au ni ushirikina au ni nini sijui.
Ushauri wangu kwa akina mama, waepushe watoto wao wa kike kufanya mazoe na baba zao yaliyopitiliza. Haya mambo ya kupelekana beach kuogelea na kwenye outing za mabaa makubwa yanachangia sana kuharibu jamii. Ninafahamu more than 20 cases za akina baba kufanya zinaa na watoto wao wa kike and the very last incident ilikuwa March this year maeneo ya Airport. Mama alimfumania mme wake "live" akiwa na bintiye ndani ya kumi na nane!
Mama kwa sasa anauguza "stroke" na yule binti ametoweka mjini - Ila i gather kwamba yupo MO-Town na baba bado anaendeleza libeneke!