Anatembea na babake!

umesema baba aliomba aonje yeye akahamia,amrudie Mungu atubu na akatafute sehemu nyingine ya kukaa kuogopa ushawishi wa baba yake.
 
Yupo baba mwingine Ilala alikuwa anatembea na binti yake, kila binti apandapo kwenye gari baba anamuwekea mkono kama vile anashika gear lever lakini ni kwamba mkono uko kwenye paja la binti. Siku msichana alipokuwa anaolewa majirani wanashangilia na kuimba "achia ngazi baba mchuma unaondoka huo". Aibu, laana, uchafu. Mungu wetu si mwepesi wa hasira vinginevyo tusingeishi. Asante Mwenyezi Mungu kwa kutuhurumia sisi waja wako na tunakuomba utuhurumie.
 
Mwambie afanye kila liwezekanalo aachane na hiyo dhambi ,
pia ajaribu kumuomba sana Mola ili amsamehe na kumpa uwezo wa kuachana na hayo makitu,
eeh Mola tusaidie waja wako!
 
hizo style za kizungu nani anawlea nazo kwani? si ndo hao hao wazazi??

Ni kweli kabisa. Wazazi tunajifanya wazungu wa kuiga mambo tusiyoyajua mwanzo wake halafu tunashindwa kujizuia. Na watoto kutaka makubwa kupita kiasi na mibaba kushindwa kujizuia. Masikini mama is always on the dark until the last minute.

Jamani hii ni laana iliyoje kwa Mwenyezi Mungu.
 
Wanaume wengine ni vichaa aisay.
 

shindwaa.....!
 
 

astaghafulilahh.
 
ni sisi wanaadamu ndiyo wabaya , tufumbia macho maovu tulitakiwa kufanya kila njia za kisasa aidha kumtega na kurekodi video au sauti na kumweka chini ili aache maovu hayo
 
yale yale ya Lot na binti zake wawili waliomnywesha pombe baba yao ili walale naye.
 
duuuuuh !
 
 
kwani shida iko wapi hata mi najitwisha tu goma...mtoto kitu gani bana
 
hayo ni mambo ya waganga wa kienyeji, baba anaambiwa ukitembea na babako utakuwa tajiri. Hilo ni pepo mahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…