wakuu, nina mdogo wangu a 9 year old boy, anatoka ngozi mikonon huu mwaka sasa yani mikono yake inafanana na mtu aliefuria sabun ya unga afu ikamchubua, pia hata texture ya mikono yake ts nt as normal soft as the children ov his age, amejaribu dawa za kusafisha damu bt stil in vain, NAOMBEN MSAADA WENU, MDOGO WANGU ARUD KTK HAL YA KAWAIDA.
Jaribu kumpaka mafuta ya zaituni Olive oil mikononi kila siku Asubuhi na jioni. Na ikiwezekana nenda Hospitali kampime damu isijekuwa ana maradhi ya ngozi? Fuatilia hayo maelezo yangu kisha uje utupe Feedback.
Nafikiria ni seborrheic dermatitis.jaribu kufuatilia hata kwa google huo ugonjwa then urud na jibu.meawhile ngoja nipate shule kwaza ya hilo tatizo nitarudi.pole sana
walize watu wa kigoma yale mafuta ya ndani ya ile mbegu ya chikichi sio mawese ndio dawa ya huo ugonya we tafuta umpake kwakweli nimesahau jina lake ,mwone muha yyte atakusaidia yale ya ndani yakwenye ile corne.ndio dawa