Halafanya kwani kansa yawezekana kushambulia matiti yote kwa wakati mmoja? Ila hakuna maumivu yeyoteAmejaribu kucheki kansa pia? na uvimbe ndani ya matiti?
Halafanya kwani kansa yawezekana kushambulia matiti yote kwa wakati mmoja? Ila hakuna maumivu yeyote
ningesema ni hormones imbalance,imetokea tu lakini kama wamempima na kukuta ziko sawa,sijui tatizo litakuwa nini....
kuna story nilisoma,kuna m.ke alikuwa anatoka maziwa kweni matiti yake,walimpima mimba hana,kupimwa zaidi,alikuwa na kansa