Anatishia kumshitaki

Anatishia kumshitaki

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Habari wanasheria na wana JF kwa ujumla.
Nina ndugu yangu alimpa ujauzito binti miaka km mitatu hivi iliyopita.Huyu jamaa alikua chuoni na binti ndo alikua anamalizia form four.Imetokea jamaa kutoelewana na msichana toka mimba itungwe mpaka ajifungue.
Mdada alihamia kwao na mkaka na akakaa pale kwa almost miaka miwili mpaka mtoto alianza kutembea kabisa.Ila jamaa hakurudi nyumbani muda wote huo.Ilifika hatua wazazi wa binti walianza kudai mahari,nao wazazi wa "mpiga mimba" hawakuwa na hiana walitoa ile mahari japo jamaa alikua hataki na hakukubaliana na maamuzi ya wazazi wake.Ila sasa mdada amekuja akakaa afu akaona anapotezewa muda,ikabidi atoroke kutoka kwao na mjamaa na kwenda kusikojulikana akiwa na mtoto ila baadae ilibainika ametoroshwa na mvulana mwingine,alipotea kwa wiki nzima afu akarudi tena kwao na mjamaa mpiga mimba,familia ya mpiga mimba ilimkataa na kumwambia arudi nyumbani kwao...walienda kwa baraza la wazee wa kitongoji na binti "mpigwa mimba" aliandikiwa barua ya kurudi kwao,na kweli alirudi kwao na sasa umepita mwaka mzima huyu dada yuko kwao ila mtoto alimwacha kwao na wazazi wake mpiga mimba maana usalama wa mtoto ulikua mashakani kwa kuendelea kukaa na mama yake.
Sasa kasheshe imekuja,jamaa ameamua kuoa sasa rasm,na ameshafanya mipango yote ya ndoa,huyu dada aliyekua amepigwa mimba anatishia kwenda kupinga hii ndoa wakati ikifungwa kanisani kisa eti mke halali wa jamaa ila amemtelekeza.Maswali yangu ni haya baada ya maelezo hayo ya mwanzo
1.Ni kweli hapo kuna ndoa halali kati ya mpiga mimba na mpigwa mimba?
2.Mdada "mpigwa mimba" ana haki yoyote ya kumshitaki mpiga mimba kwa kosa la kumtelekeza?
3.Tatu kuna ushauri gani wa kisheria naweza toa kwa hawa ndugu zangu?
 
hapo ni hivi km mlikaaa zaid ya miaka miwili kuna presumption of marriage ilikuwepo so kulikuwepo na ndoa but yey si aliamua kuwa na mtu mwingine bs hiko ni kigezo moja wapo cha kuifanya ndoa ivunjike na pia sual la kutelekeza familia yey haikuitelekeza bt aliamua kuondok means yey ndiye alie kutelekeza pindi alipo ondok so hapo pia ni ushahid tosha wa ndoa kuvunjika
 
na ishu ya tatu mwanaume aende court akaseme hilo suala zima kuhusu hy,mikasa yao na akubali kutoa matunzo kwa huyo mtoto mpk akifikia miaka saba na akifik miak hyo anaihar ya kumchukua na kumlea mwenye
 
maan km baraz la kata mwaume alishinda han bud kwend kusem mahakaman ilo sual ni hayo tu
 
Back
Top Bottom