...........loh!mimi naoa mwingine tu.....wanakuwa wawili...
Na huyo mwingine akiwa na tabia yenye kukera utafanyaje................kumbuka huoi malaika!
wakiwa wawili watashindana kuni please....ikishindikana naongeza wa tatu...
hiyo formula haijawahi kushindwa lol
Unachukua sabuni unapiga punyeto mbele yake! Nakwambia harudii tena upuuzi.
Na huyo naye akikunyima unaoa tena mwingine si watafika 10 Boss..mimi naoa mwingine tu.....wanakuwa wawili...
Unachukua sabuni unapiga punyeto mbele yake! Nakwambia harudii tena upuuzi.
duh mkuu wote watatu .... nadhani ukishaonyesha nia ya kutokujali kunyimwa tendo tayari itakuwa bakora
Hebu chukulia umeoa mke ambaye ana kisirani hivi, kisirani hicho kinapevuka na kufikia mahali anakufanyia jambo ambalo mimi naweza kuliita ni uhuni. Anaanza tabia ya kutumia tendo la ndoa kama rushwa au kama adhabu.
Inapotokea anataka kitu ambacho huna uwezo wa kumtimizia au mmetofautiana au hajaridhishwa na jambo, badala ya kujadili kwa busara na kufikia muafaka, yeye hukukomoa kwa kukunyima tendo la ndoa tena kifedhuli.
Je kama ni wewe ungefanya nini?
And of course you think it is the right thing to do... watu wengine bwana!mimi naoa mwingine tu.....wanakuwa wawili...
mimi naoa mwingine tu.....wanakuwa wawili...
Hivyo ni kujiaibisha tu, we chukua simu jifanye kama unaongea na mtu, Hi Dear, jiandae, leo nakuja tutoke out, na uhakikishe hukai humo ndani utoke kweli, ikiwezekana hata ukalale gesti peke yako mpaka asubuhi, atakoma hiyo tabia na si ajabu kabla hata hujatoka, akakubalia, usipige punyeto mbele yake, atakudharau, na pia jamani, msipende kuwafanyisha sex kila siku wake zenu kama hawapendi, mpunguze kidogo ratiba ya sex ili msiwachoshe wake zenu ili wasikose raha wanapowaona.
. Unajua unapomkwaza mtu hata hamu ya tendo anakuwa hana. Wewe unaweza hisi anakunyima.