Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Ni hapa ninapokaa Kuna hiki kibinti kimeamia juzi juzi tu hakana ata miezi mitatu,
Si mnajua hizi nyumba za kupanga huku kwetu Kwa kina sisi apeche alolo bafu na choo Huwa ni vitu vya kushea ,
Kuna siku nilikuwa naoga alafu nilisahau kufunga mlango,huyu Binti akazamia bafuni bila hodi uso Kwa uso na mshedede wangu, akaishia kusema sorry na kutoka bafuni ,lakini kumbe tayari alishaumendea mate ,
Siku zikapita na Mimi nikajifanya kama hakuna kilichotokea, basi Kuna siku nyingine Tena kavizia mie nimetoka kazini najiandaa kwenda kuoga Ile natoa ndoo ya maji wakati huo wife nimemuacha sebureni anacheki movie,
Kufika mlango wa bafu na yeye akazuga kuja kutaka kuoga.
Nikamzamisha ndani na kumpa kile kitu inaingia Kwa mwenzake.
Basi mtoto akanogewa na ndio ikawa michezo yetu ,mi nikitoka kazini tu nazuga zuga kwenda kuoga huko lazima nimkute nimkule.
Sasa juzi wife kasafiri ,nimelala nae mpaka Asubuhi ,ni tumekulana aswaaa ,jana pia usiku wa kuamkia leo tumelala ote ,tumekulana aswaa.
Sasa na Sa hii kunitumia meseji niwahi kurudi eti kanimisi anataka tulale Tena wote ,na mie hapa nimechoka Sina hali ninachotamani ni kupata kitanda changu Mimi tu nilale nitoe huu uchovu.
Yanii hapo amekazia kabisa na msosi kasema tayari ameniandalia nitachagua Mimi nikule msosi kwanza au nimkule ndio nikule msosi.
Natamani nimkimbie lakini siwezi ,wakuu nipeni mbinu za kumkwepa
Cc Zero IQ