guys mi nina mpenzi ambaye tuliachana then tukaludiana,tena kwa kuwaacha wapenzi tuliokua nao.The problem ni kwamba nashangaa sasa ivi mwenzangu hanijali tena.nikimtumia msg ajibu,amekua mkali nikiongea nae na wala ajisikii kunipigia.yan naona kiufupi ajisikii kuhusu mimi,nampenda sana sijui nifanyeje na najua tuliludiana kwasababu tulikua tunapendana sana.nifanyeje wadau
wewe ni KE au ME?
Masahihisho:guys mi nina mpenzi ambaye tuliachana then tukaludiana,tena kwa kuwaacha wapenzi tuliokua nao.The problem ni kwamba nashangaa sasa ivi mwenzangu hanijali tena.nikimtumia msg ajibu,amekua mkali nikiongea nae na wala ajisikii kunipigia.yan naona kiufupi ajisikii kuhusu mimi,nampenda sana sijui nifanyeje na najua tuliludiana kwasababu tulikua tunapendana sana.nifanyeje wadau
Yeye ni lover
Masahihisho:
Tuliludiana = Tuliruduana
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii
Waalimu wa kiswahili hasa hizi accademy feki hizi wanatuharibia watoto wetu Lol!!! Koswahili ziiiiiiii:A S embarassed:
:alien:
Masahihisho:
Tuliludiana = Tuliruduana
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii
Waalimu wa kiswahili hasa hizi accademy feki hizi wanatuharibia watoto wetu Lol!!! Koswahili ziiiiiiii:A S embarassed:
:alien:
Khaaa! Sasa wewe umesahihisha nini? Hizo kwenye mabano ndio sahihi?Masahihisho:
Tuliludiana = (Tuliruduana)
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii
Waalimu wa kiswahili hasa hizi accademy feki hizi wanatuharibia watoto wetu Lol!!! (Koswahili) ziiiiiiii:A S embarassed:
:alien:
Umeonae? Afu kakimbia sasa sijui tutamsaidiaje..mmmh!kweli hili jina tu utata mtupu!
Masahihisho:
Tuliludiana = Tuliruduana
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii
Waalimu wa kiswahili hasa hizi accademy feki hizi wanatuharibia watoto wetu Lol!!! Koswahili ziiiiiiii:A S embarassed:
:alien: