Anawashwa miguuni na akijikuna nikama panawaka moto

Anawashwa miguuni na akijikuna nikama panawaka moto

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Posts
776
Reaction score
643
Aisee wana jamvi kuna hili tatizo la ndugu yangu yeye miguu inamuwasha hasa kwa upande wa nyuma ya miguu mpaka unyayoni na kakijikuna panakuwa kama panawaka moto.

Najua humu kuna madocto na watu wenye experience na hii kitu hapa tatizo litakuwa nini?

Naikumbukwe haijawai kutokea hali kama hiyo before ila juzi tuu usiku ndo ameanza kusumbuliwa na hilo tatizo.

jitihada za hosptal zinafanyika lakini pia ningependa kupata na mawazo yenu pia wanajamvi
 
mod badilisheni title hapo ni miguu
 
Back
Top Bottom