Aisee wana jamvi kuna hili tatizo la ndugu yangu yeye miguu inamuwasha hasa kwa upande wa nyuma ya miguu mpaka unyayoni na kakijikuna panakuwa kama panawaka moto.
Najua humu kuna madocto na watu wenye experience na hii kitu hapa tatizo litakuwa nini?
Naikumbukwe haijawai kutokea hali kama hiyo before ila juzi tuu usiku ndo ameanza kusumbuliwa na hilo tatizo.
jitihada za hosptal zinafanyika lakini pia ningependa kupata na mawazo yenu pia wanajamvi