Kutumia antibiotics mara kwa maraZipo njia tofauti ya kupata fungus. Hizi nazo zinasababishwa na nini?
Yataka moyo kusema ukweliWithdrawal ngumu sana
Kwani mkewe amesema anachubuka?! [emoji13] [emoji12] [emoji1]Haumuandai vya kutosha. Ukimuandaa vizuri hatochubuka na utajilia vyako kwa raha zako.
Kwani mkewe amesema anachubuka?! [emoji13] [emoji12] [emoji1]
Ana fungus, aende hospitali apate matibabu
mgonjwa huyo mpeleke hospital haraka sana atatibiwa
Sawa!Ukipata mchubuko ndio unawashwa.
Sasa inabidi tumchungulie mkewe tuhakikishe kuwa hana mchubuko halafu turudi kushauri upya.
hebu mtoe huyo mtoto hapo kwenye profile ona anaona haya mambo unayoyapendaAna fungus, aende hospitali apate matibabu