Anawashwa sana...

Anawashwa sana...

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Rafiki yangu wa kike anatoka vipele vidogo vidogo vilivyo kwenye vikundi ambavyo huwasha sana. Anapovikuna huacha alama nyeusi(madoa).Amepima magonjwa mbalimbali bila mafanikio. Tatizo gani hili waungwana? Matibabu yake ni yapi? Msaada unahitajika wakuu
 
hivo vipele ninamtokea wapi? machoni? mdomoni? kichwani/ tumboni au wapi! be specific mkuu
 
Fani ya kigwangala hiyo. mkamuone ingawa ana tabia ya kutoa siri za wateja wake.
 
ungeweka picha ingekuwa rahisi kuelewa ni aina gani ya ugonjwa wa ngozi
 
Back
Top Bottom