Rafiki yangu wa kike anatoka vipele vidogo vidogo vilivyo kwenye vikundi ambavyo huwasha sana. Anapovikuna huacha alama nyeusi(madoa).Amepima magonjwa mbalimbali bila mafanikio. Tatizo gani hili waungwana? Matibabu yake ni yapi? Msaada unahitajika wakuu