Anaweza kuondolewa Madarakani, Iwapo...

Kile cheo kinambeba. Pale kutoka ni hadi 2030.

Maana ni mgombea mwenza na kikatiba ni Wananchi wamemchagua kama Makamu wa Raisi.

Or otherwise wafanye hayo ya juu.
Ccm hawashindwi kufanya marekebisho ya Katiba ili Makamu wa Rais awe anachaguliwa bungeni na iwe rahisi kuondolewa na wabunge uchwara waccm.
 
Nadhani ni John Malechela.

Kuna video yake mmoja niliangalia alikuwa anasema, John alimwendea na kumwambia kesho anatakiwa kujiuzulu.
alimuendea usiku wa saa 5.
Walimsumbua mzee wa watu,

Waliona mzee aliyoko karibu na Ndugai ni yeye. Kwahiyo wakamtuma aende kumwambia kamaa ajiuzulu haraka iwezekanavyo.

Na kabla hata hajajiuzulu. Barua ya kujiuzulu ishafikishwa kwa katibu wa bunge . 😊😊😊

Ndugai hakuandika ile barua.

Just like that. Mkuu wa muhimili mmoja anashinikizwa kujiuzulu.
unahisi Bunge lina uhuru?
 
Kumbe barua ya kijiuzuli hakuandika yeye! 😯.

Maajabu!!
 
Acheni ndoto za mchana, mtakuja kata gogo bure kitandani. Samia yupo hadi 2030 kwa mujibu wa Katiba. Kama na wewe hukupiga kura kwa kuiamini NRNE shauri yako.

Hizo bad wishes mnazo mombea kumbukeni Mungu haishi mtaani kwenu. Kadri mnavyomtakia mabaya ndivyo Mungu anamuinua.
 
Hili halimuhusu Samia.
😎😎😎😎
 
Kumwondoa madarakani ni rahisi sana. Ni kumvua uanachama wa CCM. Kwisha habari yake. Ndiyo maana kila siku nahubiri kuhusu Mgombea huru kuwa ndilo kimbilio la mageuzi hapa nchini
Katiba haisemi hivyo.

Na hakuna sheria ya hili.

Na kwakuwa hakuna Sheria inayoweza kuvunja katiba ya nchi. Basi katiba ndio inaangaliwa kwenye hili.
 
Umeripuka kutokea wapi wewe hata hujaeleqa nini kinaongelewa hapa?soma uelewe uko nje
 
Katiba haisemi hivyo.

Na hakuna sheria ya hili.

Na kwakuwa hakuna Sheria inayoweza kuvunja katiba ya nchi. Basi katiba ndio inaangaliwa kwenye hili.
Makamu wa Rais lazima awe mwanchama wa chama cha siasa. Ndiyo maana CCM ilibadili katiba yake ili Rais awe pia Mwenyekiti wa Chama. Kwani ukitaka kumuondoa Rais, unamfukuza uanachama. This is simple
 
Malecela (RIP) yupi?
 
Ongeza, Dr Mpango!!!! Si alisikia kama sisi jukwaani kuhusu nia yake ya kupumzika Umakamu wa Rais
 
Acha ukurupukaji. Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…