Anaweza kuondolewa Madarakani, Iwapo...

Mama apunguzeni hulka na wasiwasi

Urais ni taasisi na si mtu ajikimbushe hilo

Kama msoga angekuwa na dhana ya mlengo

Asingewasweka wale uamsho wa kipindi chake

Nchi si ubini wala dini japo msoga ni Fala ila anakubali a kiaina.. Note.!
 
Steringi wakwanza kafa wapili anapumulia mashine ila tunaona hafi tuu inabidi tumuombe daktari achomoe tu hiyo mashine mgonjwa asiendelee kuteseka..
 
Kwani Kuna ugumu gani kusema Moja kwa moja kuwa unaandika kuhusu Dr Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais..?

Mtu unatumia unanimous identity lakini bado mwoga kusema mambo kwa uwazi ili kumfanya kila mtu akuelewe kwa urahisi..

That's the greatest weakness of you ndugu Castle_Lite ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…