Anaweza kupata nafasi UD kwa matokeo haya?

jessenmutta

Member
Joined
Nov 23, 2013
Posts
38
Reaction score
8
Nina rafiki yangu ana div 3.10 HGL (BBC), ameapply Law UDSM as first choice ambapo wana hata jina wa2 161 na mpaka sasa wameapply wa2 1495, na course ya pili ni Bcom marketing wanahtaji wa2 71 na washaapply wa2 575. Je kutokana na ujuzi wenu wa matokeo ya A-Level this year anaweza pata kati ya hzo course mbili za UD?
 
Enzi zetu hiyo ni point 7 ,wajuvi wengi watakua jukwaa la elimu wanaweza kukudadavulia. Wengine hatujui hata mfumo wa elimu unavyoenda kwa sasa kwenye nchi hii.
 
friend yangu ana div 3.10 HGL (BBC), ameapply Law UDSM as first choice ambapo wanahitaji wa2 161 na mpaka sasa wameapply wa2 1495, na course ya pili ni Bcom marketing wanahtaji wa2 71 na washaapply wa2 575. Je kutokana na ujuzi wenu wa matokeo ya A-Level this year anaweza pata kati ya hzo course mbili za UD?
 

Hapo bahati nasibu kama hiyo bcom angeapply kozi yoyote ya udbs ambayo haina compitition akishapata chuo hapo mlimani kwenye usajili watu wanaobadilisha program huwa wanaruhusiwa
 
Hapo bahati nasibu kama hiyo bcom angeapply kozi yoyote ya udbs ambayo haina compitition akishapata chuo hapo mlimani kwenye usajili watu wanaobadilisha program huwa wanaruhusiwa

Kwa UDBS hyo ndo at least Haina competition.
 

Hivi mtu wa HGL anaapply Bcom?
 
mbona hata wa KLF wanaapply.

Kuapply sio issue,issue ni yeye kumudu masomo ya Uhasibu.Watu wa HGL kozi zao ni Law,Human Resource,Public Admin,Mass Communication,Journalism,Social works etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…