GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwa hali ya nyumbani kwao siyo rahisi kusoma "private". Kula tu kwenyewe ni changamoto sembuse kusomeshwa private.Aende kwenye ofisi za elimu mkoa atapata ufafanuzi
Lakini anaweza kusoma private akafikia lengo
Mdau anasema shida hela.Mpe pole kiukweli sijajua utaratibu ukoje ila kama wakimkatalia basi mpelekeni hata Chuo tu mbona hizi form 5&6 hazina maana yoyote kwasasa.
Kwanza pole kiongozi kwa saibu hilo. Ninavyofahamu na pia ningependa ufanye yafuatayo:Ni kijana wa kiume aliyemaliza kidato cha nne mwaka Jana na kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano mchepuo wa Sanaa mwaka huu.
Hakuweza kuripoti shuleni mwaka huu kwa sababu alikuwa mgonjwa. Nduguze hawakutoa taarifa shuleni.
Anaweza kupokelewa tena shuleni endapo mwakani ataamua kwenda kuripoti?
Kuna anachoweza kufanya kwa sasa ili "kuiokoa" fursa yake ya kusoma?