Anaweza kutimiza ndoto ya kuwa Engineer?

Anaweza kutimiza ndoto ya kuwa Engineer?

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
1,104
Reaction score
251
Salaam GT!

Mdogo wangu amehitimu form four mwaka 2014 ufaulu wake katika mtihani wa NECTA ni Civics- D, History - D, Geog - E, Kiswahili - D, English - C, Physics - C, Chemistry - C, Biology - C na Math - E. Daraja alilopata ni CREDIT. Kwa bahati mbaya hajachaguliwa kujiunga form 5. Nimemshauri apply chuo kozi za afya hataki kwa sababu si ndoto yake kuwa daktari, Nurse au mwalimu. Yeye ndoto yake ni kuwa Mhandisi tena Civil engineer au water engineer.

Kwa ufaulu wake ni wazi hawezi kusoma PCM ambayo ni njia ya kufikia ndoto yake. Naomba ushauri nimsaidiaje dogo afikie ndoto yake?
 
Nani kakwambia hawezi kusoma pcm kama pesa ipo apelekwe chuo akasome pcm maana inawezekana kabisa. anaweza pia kujiunga na diploma ya uhandisi chuo kama st Joseph,DIT kwa muda wa miaka 3.
 
Back
Top Bottom