Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 4,095 Reaction score 13,016 Aug 4, 2025 #1 Wakuu hao mashahidi wa siri ni kina nani? π
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Aug 4, 2025 #2 Na mkewe
Ad majorem JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 1,106 Reaction score 1,678 Aug 4, 2025 #3 Expensive life said: Wakuu hao mashahidi wa siri ni kina nani? π View attachment 3431176 Click to expand... Hakunaga siri duniani. Watajulikana tuu.
Expensive life said: Wakuu hao mashahidi wa siri ni kina nani? π View attachment 3431176 Click to expand... Hakunaga siri duniani. Watajulikana tuu.
N Ndile wa Ulindula Member Joined Jul 3, 2025 Posts 26 Reaction score 17 Aug 4, 2025 #4 Kigaila anaweza kuwa miongoni mwao aseeeh
Greatest Of All Time Platinum Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,550 Reaction score 62,019 Aug 4, 2025 #5 Joka lenye makengeza nae anaweza kuwa shahidi wa sisiem
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Aug 4, 2025 #6 Lazima tu wengi wao wanatoka Chadema maslahi. Na hapa ndipo utakapo amini kwa miaka mingi tulikuwa tunadanganywa na hawa wanasiasa wetu wachumia tumbo. Ahueni Lissu na timu yake wamekuja kuwaumbua.
Lazima tu wengi wao wanatoka Chadema maslahi. Na hapa ndipo utakapo amini kwa miaka mingi tulikuwa tunadanganywa na hawa wanasiasa wetu wachumia tumbo. Ahueni Lissu na timu yake wamekuja kuwaumbua.
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,020 Reaction score 129,293 Aug 4, 2025 #7 John Mrema ni wa uhakika, hakuna mtu aliumia kama yeye kwa Mbowe kulambishwa mchanga kwenye uenyekiti. Anaweza kutumika kwa lolote dhidi y cdm.
John Mrema ni wa uhakika, hakuna mtu aliumia kama yeye kwa Mbowe kulambishwa mchanga kwenye uenyekiti. Anaweza kutumika kwa lolote dhidi y cdm.