Anaweza kuzaa na mwanamume mmoja tu hapa duniani!!!

Haya mambo bana!Binadam tuna vituko sana!
 
Siunajua mzee enzi za mpaka muheshimiwa mbunge kutupa sredi ya malavidavi si mchezo......

mpendwa,

ukiangalia tarahe ya thread, inaonekana uchaguzi wa 2010 ulikuwa bado na katika baadhi ya quotes, walikuwa wakimquote kama "mgombea ubunge" huyu mtu nakumbuka kukutana na thread yake mahali kuwa anabadilisha ID baada ya kushinda ubunge!

so inaonekana kuwa wakati anarusha hii thread hakuwa mbunge bali alikuja kugombea baadaye na kushinda!

ubarikiwe sana
 

Miss Judi mambo.....
 


That is where we are going for sure, sasa mkaka umpende, umpe heshima zote , huku hakupi shs 10! Bado acheat around akuletee magonjwa ya zinaa na moyo, ya nn! Mkaka smart mnakubaliana mtt then kila mtu kivyake mnalea mtt full heshima, no kuumizana na kufanyana comeds
 
Siunajua mzee enzi za mpaka muheshimiwa mbunge kutupa sredi ya malavidavi si mchezo......

mkuu,

enzi hizo nilikuwa bado sijawa mbunge. nilikuwa najulikana kwa ID ya mgombea ubunge. nilibadili ID baada ya kushinda kiti cha bunge kwa mara yangu ya kwanza katika uchaguzi mkuu uliopita

ni katika kuweka tu kumbukumbu sawa
 

asante sana kwa ufafanuzi mzuri dadangu, uibarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…