Anayafutwa rafiki wa kike kutoka Dodoma

TANZANIAN NINJA

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Posts
456
Reaction score
534
Kama kichwa kinavyojieleza wapendwa wangu nahitaji rafiki wa kike kwaajiri ya kushare mambo mbalimbali ya maisha awe na umri wa 25 or less than 25 na aliopo Dodoma.
Napenda sana rafiki anayejitambua,figa fulani amizing,sura nyeupe au kunde ya mvuto.Naamini rafiki mwenye sifa hizi sitamchoka nitasikia mawazo na ushauri wake kwa kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…