Anaye hitaji mwalimu wa awali

Anaye hitaji mwalimu wa awali

De panther

Member
Joined
Jul 9, 2022
Posts
80
Reaction score
108
Nina certificate ya Early childhood education,kwa sasa naendelea na bachelor of Arts with education katika chuo kikuu cha Dar-es-salaam.

Kwa mwenye uhitaji,,namba ni:0659146850.
Napatikana Mbeya mjini,jinsia ni (Me).
 
Jinsia yako na kazi unayotafuta ni changamoto. Unless upate reputable institute la sivyo wanaume tumeumbwa mateso.
 
Jinsia yako na kazi unayotafuta ni changamoto. Unless upate reputable institute la sivyo wanaume tumeumbwa mateso.
Ni kweli mkuu,,kwakuw nipo likizo now najaribu bahati.
 
Back
Top Bottom