Anaye jua sehemu nzuri tafadhari

Anaye jua sehemu nzuri tafadhari

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Mimi nimehitim kidato cha nne,lakini siko vizuri kwa upande wa lugha ya kiingereza.kuongea na kuandika,Je niende kusoma ili niweze kuijua hiyo lugha viruri?kwa anaye jua please

Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
 
Hata kiswahili pia hukijui vizuri, nacho pia inabidi ukasome

Kiingereza nenda British Council
 
Kiswahili najua,chuo chake kiko maeneo gan hapa dar

Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
 
Back
Top Bottom