Anaye jua vizuri chuo cha ualimu Mweas.... nisaidie hili tafadhari (wenyeji wa Mwanza)

gashambala uwezo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
485
Reaction score
67
kwa wale wenyeji wa Mwanza hasa, nisaidie hili tafadhari,
napenda kufahamu kama chuo hiki kinatoa kozi za ualimu , hasa zile kozi za miaka mitatu
kwa upande wangu nina three point 29 ya Art, Aidha nilifika Mentossori pamoja mukidoma kuuliza
kama wataoffer kozi hii ya miaka mitatu wakasema hapana.

kuna aliyeniambia kuwa watatoa Mweas , nahitaji tu ,udhibitisho wa jambo hili.
asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…