Anaye liamini jeshi hili ya kiki na rushwa asimame!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Inasikitisha sana kuona jeshi la Polisi limebaki kuwa na kiki na uongo uongo pamoja na rushwa.

Ni nani leo hii Tanzania anaweza kuweka imani kwa jeshi hili? inasikitisha sana hasa sisi ambao wazazi wetu maisha yao yote walikuwa ni Polisi
 
Some rules against policeman:-
-kamwe usifanye urafiki na yeye.
-usimuamini kwa lolote atakaloongea,kuandika au kuonesha kwa vitendo hadi ujihakikishie kwa njia nyingine halali na iaminikayo.
-........
 
Ni vile ujajua mangapi wanapita wale jamaaa...
Mtu bado anakulinda lakini kila siku mnamsimanga...
Daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inasikitisha kuona polisi wanatoa onyo kwa Chadema kuwa wanapanga kuvamia vituo vya polisi kwa kutumia Mtandao wa Zoom 🀣
Pili wanaapa mahakamani viapo vya kisheria na kiimani kuwa hawajawakata Soka na wenzake😑
Kwenye mitaala CCP nauliza kuna somo la Kusema Uongo?
 
Kaka pale kituoni kwenu ndio kumejengwa skuizi pamekuwa vile πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ewaaaah ni kituo cha mbande, kisewe, msongira mpaka mvuti huko
 
Inasikitisha sana kuona jeshi la Polisi limebaki kuwa na kiki na uongo uongo pamoja na rushwa.

Ni nani leo hii Tanzania anaweza kuweka imani kwa jeshi hili? inasikitisha sana hasa sisi ambao wazazi wetu maisha yao yote walikuwa ni Polisi
Halafu wanalipwa pesa kiduchu na bado wanaotumikia ccm
 
Ni bora lile Jeshi la Sungusungu lilikuwa halimteki Mtu lilikuwa likitoa Dozi kwa wahalifu tu.

Ni bora Sungu sungu warejeshwe na hata ukitaka kutekwa unapiga mayowe ndani ya Dakika 3 Sungu sungu hawa hapa na silaha zao za Jadi ikiwemo Mishale ya Sumu.
 
Inasikitisha sana kuona jeshi la Polisi limebaki kuwa na kiki na uongo uongo pamoja na rushwa.

Ni nani leo hii Tanzania anaweza kuweka imani kwa jeshi hili? inasikitisha sana hasa sisi ambao wazazi wetu maisha yao yote walikuwa ni Polisi
Halafu cha kushangaza anae simama nyuma ya mick ni kijana tena alie soma. Tumuombe Mungu haya yata pita kama yale ya yule wa parapanda.
 
Ni vile ujajua mangapi wanapita wale jamaaa...
Mtu bado anakulinda lakini kila siku mnamsimanga...
Daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Analinda viongozi au wananchi. wananchi wengi wanatekwa na kuombwa rushwa na matrafiki. viongozi wanalindwa na kupeteshwa barabarani sasa unaongelea wananchi wa kawaidia au viongozi. Mimi kwenye nyumba yangu na maeneo yetu wizi kila siku. Tupe mfano wa wananchi wa kawaida kulindwa na Polisi
 
Wote kasoro Inspector Seba tu na J Plus wengine can rot in hell for all i care
 
Kuna kitu umelishwa kuhusu polisi hivo sina la kukusaidia mkuu wangu
 
Inasikitisha sana kuona jeshi la Polisi limebaki kuwa na kiki na uongo uongo pamoja na rushwa.

Ni nani leo hii Tanzania anaweza kuweka imani kwa jeshi hili? inasikitisha sana hasa sisi ambao wazazi wetu maisha yao yote walikuwa ni Polisi
Nasimama kusema kuwa naamini hili ni jeshi la kiki na rushwa.

Hawana weledi wala utii wa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…