Anayebatiza mwaka Jina ni nani na ana sifa gani?

Anayebatiza mwaka Jina ni nani na ana sifa gani?

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Tang nikiwa mdgo miaka imekuwa ikipewa majina naomba kujuzwa mbatizaji huwa ni nani?
.je anasifa gani?

Je anatumiaga sifa gan kutoa jina kwa kila mwaka?

Naomba wajuzi wa haya mambo!
 
Huu mwaka unaitwa mwaka wa vyuma kukaza... Nadhani nipo sahihi
 
Naomba kuuliza Wahaya wote na jamaa zake Padri Mpambo yuko wapi ? Namkumbuka sana padri huye enzi zake za ujana
 
Back
Top Bottom