Anayedaiwa kumwingizia Panga mkewe sehemu za siri akamatwa

Ndo mana alivyorudi akapata kipondo
 
Huyu mwanaume ana akili za punda. Atamkataje mkewe sehemu nyeti hivyo?
 
Ndo mana alivyorudi akapata kipondo
Mpaka sasa ana ndoa tatu.Na si ajabu hajafika miaka 30 tangu azaliwe.Kama ana changamoto zake ni vema akazifanyia marekebisho ili aishi kwa amani.Kama ni mtundu awe makini.Kuna wengine hukata shingo kabisa.
 
Ila kuna vijana wa kiume akili hawana kabisa!

Acheni kuvuta bangi wapumbavu ninyi
 
Uyo mwajuma ndala ndefu anaonekana mambo mengi sana ndoa ya tatu anafatiliwa hivi si bure hapo kuna jambo
 
Mpimane na magonjwa ya akili kabla ya kuoana.
 
Nilidhani kuna msemo wa "nyuma mwiko tu", kumbe kuna "nyuma panga" na hamsemi.
 
Iyo kwenye porn tunaita BDSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…