Anayedaiwa kumwingizia Panga mkewe sehemu za siri akamatwa

H

Mtwara kawaida,mtu kuolewa mara 10 kawaida........yaan Kule mwaachana Saaa mbili asubuhi saa Tisa kaolewa na jilani Yako.
weweeeeeeeeeeeeeeeee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijasoma maelezo, ila kwa title tu, nafikiri kwa vyovoyte vile huyo mtu aliyetenda hilo, lazima ana matatizo makubwa ya kiakili.
 
Ndoa yake ya 3, walikuwa wanaokota korosho alafu akaenda kwa binamu kutwanga kisamvu 🤔,
 
Polisi hawapo fair hata kidogo.

Ina maana eneo hilo hakuna raia wenye hasira kali?
 
Pumbavu, mbona wewe hata baada ya kugegedwa makalio unaendelea kukata gogo japo kwa shida shida.
Jifunze kuheshimu wenzako mbwa wewe.
Mbona hasira mkuu kwani kuna neno gani hapo nililoandika lenye kuvunja heshima. Sio kwamba siwezi kukutusi ila nakuona mjinga kuweka hisia kali kwenye jambo linaloletwa jukwaani. Jifunze heshima ndipo uone wapi watu hawaheshimiwi.

NB: siiogopi ban nimechagua kukuheshimu kama ulivyoona sina heshima
 
Kama ni wivu basi wamsamehe,huyo anampenda sana mkewe mpaka anaumwa,au wivu nao ni kosa kwenye mahusiano,na huyo dada naye ili awe salama apunguze manjonjo...?
 
Umewaza kama mimi huyo bibie nae muongo muongo na kamdomo nanukuu" ana wivu hadi ananisindikiza chooni" wazee huo sio wivu ni ugonjwa wa akili na wanawake wa huko kwa mdomo hawajambo NB amefanyiwa unyama sana napinga kwa nguvu zote
 
Huyo mama yuko kwenye maumivu wewe unaleta za kukata gogo! Unaona ni neno la heshima, kama ni la heshima muulize mkeo kama leo kakata gogo. Jifunze kutumia lugha ya staha wakati wa maumivu.
 
NI VILE WANAUME SIO WASEMAJI SANA.
MWANAUME HUYU ANAZIJUA NYENDO ZA MWANAMKE,
HAJAPEWA NAFASI YA KUYASEMA YAKE.

MKE WAKE NI MKE WETU.

EBU SOMA HII
Baada ya kukaa huko kwa muda akitwanga kisamvu hicho mumewe alihisi kuwa mkewe ameenda kwa mwanaume mwingine, ,”
 
Hivi mtu akimwoa mwingine anakuwa na haki hata ya kumwua au wenzetu wanapendapendaje jamani
 
Hii ni ndoa ya tatu tatizo lilianzia hapo ..... ukijaribu kufuatilia kwa undani huyo jamaa ana sababu za kufanya ivo ..... ingawa siungi mkono swala la ukatili wa aina yeyote kwa namna yeyote ile ..... ila ukweli utabaki pale pale hapo hakuna mwanamke , swali ndoa ya kwanza ina watoto wa ngapi , na ya pili je, na hii ya tatu[emoji848]
 
Mwanaume asiye na hela na asiyetaka kujishughulisha huwa anajiajiri kwenye wivu wa mapenzi.

Kitu pekee anachoweza kumfurahisha Mke ni ngono. Hivyo anajikuta anakuwa mtumwa na shetani wa ngono.

Kama una kazi z akufanya huo muda wa kumfata fata mke unautoa wapi?

Na hii ni dalili ya uvivu
 
Sasa unapoa mke waliyeolewa ndoa ya kwanza na ya pili na ya kwako ya Tatu we kweli Mwanaume una akili?
 

Watanzania wengi wana magonjwa ya akili
 
Ukatili dhidi ya Wanawake upigwe vita kwa nguvu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…