Anayefahamu bei ya gari aina ya Rossa

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
907
Naomba kufahamishwa bei ya Rossa kununulia yard kwa Dar es salaam nataka kwa ajili ya kulifanya liwe daladala mkoani mby
 
sijui ila lipo moja linapigwa mnada na benki wanataka milion15 namba D
 
Mnada unapigwa lini na no wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…