Acha kumtishaKioo peke yake sio chini ya laki tano, bado ufundi na kadhalika
Kioo cha gari gani? Cha IST sio Sawa na PradoView attachment 1313594
Jana ilikuwa siku mbaya kwangu baada ya mtoto wa jirani kufanya hii kazi hapo juu. Naomba Clue kwa anaefahamu bei ya windscreen kwa sasa ni Tsh. Ngapi maana tuko kwenye negotiation na mzazi wake kwa sasa ili kipengele cha “indemnity” kichukue nafasi yake.
AiseeeKioo peke yake sio chini ya laki tano, bado ufundi na kadhalika
Duuu...Labda vile vyenye sensor ya mvua...Kioo peke yake sio chini ya laki tano, bado ufundi na kadhalika