Anayefahamu jinsi ya ku-skip GTA 5 prologue (1st mission) PS3 kwenye tv

Anayefahamu jinsi ya ku-skip GTA 5 prologue (1st mission) PS3 kwenye tv

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni mgeni kwenye matumizi ya PS na hii mission ya kwanza kwenye PS3 nataka niskip lakini sifahamu yeyote anayejua msaada tafadhali.
 
Mission ya kwanza hyo ni lazima uimalize ndio uwe na uwezo wa ku free roam
 
Pitia hapa

Hio ni 100% save file, yapo mengi chagua mwenyewe namna unayotaka, cha muhimu uwe na flash na ujue namna ya kutengeneza hayo mafolder.
 
Back
Top Bottom