Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

makanisa yahivyo mbona ni mengi sana?
 
Ila kwa vile umeashataja kwamba lazima liwe la Kikristu hapo kwenye namba moja sina cha kukushauri zaidi. Ungekuwa unahitaji liwe la Kikristo hapo ningekupa ushauri fulani hivi.
 
So what if hivyo vyote vipo halafu kanisa hilo

1. Halimini katika utatu mtakatifu
2. Wanaamini kuwa matendo yetu ndo yatatuokoa na sio neema peke yake
3. Halimtambui Yesu kama Mungu
4. Linaamini sources nyingine ya authority tofauti na Biblia


Ask yourself unataka Ufalme wa Mungu au appearances mbele ya watu?
 
Mimi nalitaka kanisa ambalo 1.Yesu sio Mungu 2.Mwanamke hawi mchungaji wala mwalimu 3.Wanawake wanavaa mavazi ya heshima 4.kanisa lisilopindisha maandiko
 
Mimi nalitaka kanisa ambalo 1.Yesu sio Mungu 2.Mwanamke hawi mchungaji wala mwalimu 3.Wanawake wanavaa mavazi ya heshima 4.kanisa lisilopindisha maandiko
Nenda msikitini hakuna kanisa ambalo Yesu sio Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…