Anayefahamu kuchimbua Agano la kale na Jipya kabla na baada ya Kristo kuzaliwa ilikuaje mpaka tunasherehekea Krisimasi?

Anayefahamu kuchimbua Agano la kale na Jipya kabla na baada ya Kristo kuzaliwa ilikuaje mpaka tunasherehekea Krisimasi?

Fabian Vitus

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
5,828
Reaction score
7,532
Mimi ni mkristo tangu nimeingia /kuzaliwa nasherehekea kitu nisichojua maana yake zaidi yakufuata mkumbo tu basi naomba anaefahama kuchimbua agano la kale kabla ya kristo kuzaliwa ilikuaje na baada ya kristo kuzaliwa ikawaje mpk tunasherehekea.

Hivi miaka yote sikukuu ya kidunia na katika picha ya kristo lile jua linaloonekana nyuma ya pich a linamaana gani yangu ni hayo tu naomba sana utambuzi wa hivi vitu wale watoto wanaoonekana kwenye mti wa Christmas katka kile kijumba Wana maana gani zaidi au ni Mimi tu nimetambua tofauti na kuiona historia ya Christmas jay naomba wachungaji mniweke bayana🙏
 
Back
Top Bottom