Chungu cha bibi
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 525
- 166
Habari za humu wana JF...
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayekijua chuo hiki cha dit vzur haswa hii kozi ya civil kwa ngazi y a degree kuanzia ufundishwaji.hostel kwa wanafunzi...
Je eti ni bora kusoma Dit kuliko Udom...
USHAURI WENU MUHUMI.
Kuliko UDOM au UDSM? Mara nyingi ufuatiliaji wa taaluma ndo humfanya mtu awe bora hasa kwenye utendaji kazi. DIT wazuri sana kwenye practical, na hata UDSM-CoET wako vizuri. Vyote ni.vikongwe kwenye tasnia ya Uhandisi hapa Tanzania. Kuhusu UDOM ni chuo kipya na kuhusu Engineering ndo kabisa hakina muda mrefu angalau Education ina muda angalau miaka 5-8 hivi. So kwa UDOM sijui kwa kuwa pamoja na ukubwa bado ni kichanga kwenye tasnia hiyo!
T.i.d ni vizuri kwa upande wa ufundishaji ila hostel sio nzuri na gharama za maisha ziko juu, udom hostel ni kali sana na gharama sio nyingi za maisha ufundishaji wa wastani.
Poa kaka lakini upande wa ufundishwaji ndo wa muhimu sana..
Asante sana mkuu umenielezeaa vizuri sana..
Umemkubalia kweli kuna chuo kinaitwa T.I.D? D.I.T bhana!
yah ni kweli mdogo wangu!udom bado kichanga kwa kozi za engineering!kwa sasa hawana civil engineering wana kozi za sana sana sayansi ya ardhi(earth's science) i.e mining,mineral,geology na petroleum engineering!Labda kidogo petroleum engineering ambayo ina miaka mi4 sasa!Habari za humu wana JF...
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayekijua chuo hiki cha dit vzur haswa hii kozi ya civil kwa ngazi y a degree kuanzia ufundishwaji.hostel kwa wanafunzi...
Je eti ni bora kusoma Dit kuliko Udom...
USHAURI WENU MUHUMI.
yah ni kweli mdogo wangu!udom bado kichanga kwa kozi za engineering!kwa sasa hawana civil engineering wana kozi za sana sana sayansi ya ardhi(earth's science) i.e mining,mineral,geology na petroleum engineering!Labda kidogo petroleum engineering ambayo ina miaka mi4 sasa!
Naweza kusema vyuo ka DIT na MUST wako vizuri ktk kozi za engineering kwan wanafundisha kivitendo zaidi!
asante kwa ushauri kaka..je vp kati ya hizi geomatics ardhi au civil dit