Dalton elijah JF-Expert Member Joined Jul 19, 2022 Posts 373 Reaction score 829 Oct 4, 2024 #1 Mechi Imetamatika Ikishuhudiwa Simba akiondoka na Sare ya goli Mbili Kwa Mbili Dhidi ya Coastal Union (Wana Mangushi). Lakini Mjadala Unabaki Kwa Nini Lamek Lawi Hakuwa Sehem ya Kikosi Cha Coastal union kilicho Cheza Mchezo Wa Leo Dhidi ya Simba. Soma Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC
Mechi Imetamatika Ikishuhudiwa Simba akiondoka na Sare ya goli Mbili Kwa Mbili Dhidi ya Coastal Union (Wana Mangushi). Lakini Mjadala Unabaki Kwa Nini Lamek Lawi Hakuwa Sehem ya Kikosi Cha Coastal union kilicho Cheza Mchezo Wa Leo Dhidi ya Simba. Soma Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC
Clever505 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2020 Posts 1,183 Reaction score 2,256 Oct 4, 2024 #2 Wanasema yupo kwenye kambi ya timu ya taifa U20