ingia hii website utapata pia utapata mawasiliano ya wapambaji,washereheshaji MCs na mengine meengi. www.harusiyangu.com
mwenge kama unaelekea coca cola kuna jengo linaitwa josam house. Fika hapo kuna garden ya nje safi kabisa.natafuta venue ya harusi ambayo ni ya nje, yenye garden nzuru za kuvutia.
Wenye ideas tumwagieni hapa
Wana jf naomba msaada wenu wa kupata namba za wenye kumbi za harusi hapa dar es salaam ili nami nipate kuwe order yangu kwao napenda sana kama unayo ya diamond jublee,nssf water front,ubungo plaza,quality plaza na zingine ili nami niwe na uwanja mpana wa kuchagua,napenda kutanguliza shukurani zangu za dhati kwa wale wote watakao nisaidie,na wale ambao watanipa mawazo yao.Ahsenten
0754277687 JOSAM GARDENS
mwenge kama unaelekea coca cola kuna jengo linaitwa josam house. Fika hapo kuna garden ya nje safi kabisa.
Wana jf naomba msaada wenu wa kupata namba za wenye kumbi za harusi hapa dar es salaam ili nami nipate kuwe order yangu kwao napenda sana kama unayo ya diamond jublee,nssf water front,ubungo plaza,quality plaza na zingine ili nami niwe na uwanja mpana wa kuchagua,napenda kutanguliza shukurani zangu za dhati kwa wale wote watakao nisaidie,na wale ambao watanipa mawazo yao.Ahsenten
Naomba uniPM kwani mm nafanya huduma za U-MC, Upambaji, kutengeneza keki, kutengeneza kadi za Harusi na kuweka snow katika halfa mbalimbali vilevile nitakusaisdia kupata hizo namba za ukumbi kwani harusi yako ni lini best hongera sana niifahamishe.
nami naomba niku-pm kuna jamaa yangu anatafuta mc wa hivi karibuni
Natafuta venue ya harusi ambayo ni ya nje, yenye garden nzuru za kuvutia.
Wenye ideas tumwagieni hapa
Naomba uniPM kwani mm nafanya huduma za U-MC, Upambaji, kutengeneza keki, kutengeneza kadi za Harusi na kuweka snow katika halfa mbalimbali vilevile nitakusaisdia kupata hizo namba za ukumbi kwani harusi yako ni lini best hongera sana niifahamishe.
Shosti, hongera sanaaa kumbe mjasiria mali?
mpendwa wangu mm ni mjasiriamali wa siku nyingi nashukuru kwa kunipongeza kama nawe unahitaji huduma hizo niPM tutawasiliana bestito