Anayefahamu sababu za kuzimwa TV za Kenya kwenye king’amuzi cha DSTV

Anayefahamu sababu za kuzimwa TV za Kenya kwenye king’amuzi cha DSTV

Right3

Senior Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
194
Reaction score
237
Habari wadau,

Mwenye kufahamu sababu tafadhali nijuzwe au kama Dstv wapo hapa wanijulishe.

Asanteni.
 
Wa punguze na bei sasa


Hao watoa huduma tajwa ni kama na wao wamejiinviza ktk siasa
 
Mbona mimi naona zote zipo Citizen,KTN,NTV,KBC, na K24.Pengine walikuwa na shida kwa jana.Lakini zipo na zote zipo hewani.
 
Back
Top Bottom