Unaweza kuwa na tatizo linolitwa Simplex herpers! Huwa ni gumu sana kuonekana kwa urahisi! Kama uko Dar nenda Agakhn Hospital ukamwone Dr. Shafiq au pale Regency kuna Doctor wa akina Mama ambaye ni bingwa kwa uchunguzi na Matibabu. Fanya haraka kupata matibabu maana unaweza kupata madhara makubwa kwenye Kizazi!!
Habari zenu wana Jf,
Nina tatizo la kuwashwa sana ukeni,kuvimba uke na kupata vijipele vidogo vidogo visivyouma, iwapo tu nitajamiiana kwa kutumia Kondomu,
Ila nikijamiiana bila kutumia Kondomu tatizo hilo silipati,hivyo basi
Kama kuna daktari atakaesoma mada hii naomba unisaidie tatizo langu,aidha kwa ushauri au vyovyote vile,
La kama unafahamu namba ya simu ya daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi,tafadhali naomba unipatie.
Asante.
MADAMME B.
Pole sana madame B. Kuna watu wachache huwa wana-react kwa material ya rubber inayotengenezewa condom za aina nyingi zilizo sokoni. Pengine nawe ni mmoja wao. Jaribu kutafuta condom mbadala kwenye maduka makubwa ya dawa mjini DSM( mfano JD, The Pharmacy etc). Ukiona problem inaendelea, tafuta doctor specialist wa kinamama.
Acha kutumia kondom. Uwe na mpenzi mmoja mwaminifu mliyepima afya zenu. Panga uzazi kwa kutumia njia nyingine
Mpenzi wangu nahs si mwaminifu hvo cwez acha kutumia mpira,na yeye anafahamu kuwa nafahamu si mwaminifu,na kuhusu kupanga uzazi,bado sijapanga kupata mtoto na vilevile sihitaji kutumia njia yoyote ya kuzuia mimba.
Yanin kua na mpenzi sio mwaminifu? Kama umegundua ukifanya luv kwa mpira unapata muwasho acha kuutumia na tafuta mupenzi mwaminifu kusolve hilo ttzo.
Kwa dunia ya leo,kumpata mwanaume ambaye ni wa kwako peke yako kwa uaminifu cjui atoke wapi!
Cha umuhimu ni kupata tiba tu.
wapo dada
kuwa mwaminifu pai uwe na mpenzi moja.nenda kapime tena.kuepuka tatizo kuwa mwaminifu
Madame B pole sana kwa tatizo ulilonalo. sasa nafiiri wewe una allergy na hydrocarbons hizi ni ina ya rubber materials ambazo ziko katika condoms aina zote. ushauri wangu kwako ni acha kabisa kuzivaa kwani zitakufanya uppate herpes na baadae utaoza kizazi. ishu hapa ni kwamba yawezekana tatizo lako likawa kwenye acute stage sasa usitake liwe chronic.Mpenzi wangu nahs si mwaminifu hvo cwez acha kutumia mpira,na yeye anafahamu kuwa nafahamu si mwaminifu,na kuhusu kupanga uzazi,bado sijapanga kupata mtoto na vilevile sihitaji kutumia njia yoyote ya kuzuia mimba.
Madam utaumia, kipi bora kuendelea kujamiana au kuacha mpaka pale utakapopata aliye sahihi, jiangalie usije ukaanguka, na si mara zote ukianguka unaweza kusimama, unaweza kuanguka na usisimame.Mpenzi wangu nahs si mwaminifu hvo cwez acha kutumia mpira,na yeye anafahamu kuwa nafahamu si mwaminifu,na kuhusu kupanga uzazi,bado sijapanga kupata mtoto na vilevile sihitaji kutumia njia yoyote ya kuzuia mimba.
Madame B pole sana kwa tatizo ulilonalo. sasa nafiiri wewe una allergy na hydrocarbons hizi ni ina ya rubber materials ambazo ziko katika condoms aina zote. ushauri wangu kwako ni acha kabisa kuzivaa kwani zitakufanya uppate herpes na baadae utaoza kizazi. ishu hapa ni kwamba yawezekana tatizo lako likawa kwenye acute stage sasa usitake liwe chronic.
kwakua huyo mpenzi wako siyo mwaminifu basi mweleze kuwa hauko tayari kushirikiana naye tena kwasababu ya hii shida, kama hatabadili tabia na kwakua pia n ngumu kwa wewe kuhakikisha kama amebadili tabia basi. hebu kaa pembeni jitibie kisha tafuta mpenzi mwingine.
Ushauri wako mkuu naukubali ila sasa tatizo linakuja kuwa mimi pamoja na huyo mpenzi wangu tumeshatambulishana kwa wazazi wa pande zote,na nikichukua uamuzi huo wa kuachana nae,itakuwa si jambo zuri.
Pia kujamiiana bila mpira naogopa sana,yani ndo mana natafuta tiba.
Kumbuka kuwa tatizo hlo analijua na amenipeleka hospital! So anaufanya uzinzi huku akitambua afanyacho.
Asante mkuu kwa ushauri.